Mastodon
@Boston Bruins

Zaidi ya watu 1200 kushiriki tamasha la michezo ya Kilimanjaro Trails Festival



Zaidi ya watu 1200 kushiriki tamasha la michezo ya Kilimanjaro Trails Festival

Zaidi ya watu 1200 wanatarajia kushiriki katika tamasha la Michezo ya Kilimanjaro Trails Festival ambayo litaanza Januari 31 mpaka Februari pili mwaka huu, likiwa na lengo kuwakutanisha watu kutoka maeneo mbalimbali ili kuweka kambi na kufanya michezo katika maeneo ya asili .

Hayo yameelezwa mwandaaji wa tamasha hilo , Brett Harrison wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Arusha ambapo amesema michezo hiyo itawakutanisha watu ili kuzungumza kufahamiana na kupeana fursa za kiuchumi pamoja na kufanya shughuli za kiutalii.

Write A Comment